Classuser.com Sarafu inakuwezesha kununua kozi, vocha, steshenari, vitabu na bidhaa nyingine katika mfumo wa classuser.com pekee.

Ili kupata Classuser.com sarafu utatakiwa kujiunga na program ya kuposti taarifa za classuser.com katika akaunti zako za mitandao ya kijamii kama vile facebook, TikTok na Instagram.

Utaratibu wa vigezo vitakavyokuwezesha kukubaliwa katika program hiyo na namna ya kupata taarifa za kuposti zitawekwa hapa hivi karibuni.