Kuwasiliana kwa njia ya mazungumzo na maandishi 2

By Jumbe Shabani Uncategorized
Wishlist Share

Course Content

1.0 Kumudu stadi za juu za Kiswahili

1.2 Kukuza msamiati mpya kutokana na mazungumzo na maandishi changamani

a) Kubaini msamiati mpya kutokana na mazungumzo na maandishi changamani na kawaida katika miktadha anuai (mfano: taarifa ya habari,midahalo, na mazungumzo ya watu sokoni)

b) Kubaini msamiati mpya kutoka katika matini andishi za kawaida

c) Kutumia msamiati mpya katika kuzungumza na kuandika matini za kawaida na changamani

1.3 Kutumia msamiati na sarufi stahiki katika miktadha mbalimbali

(a) Kutumia kanuni za kipragmatiki katika lugha (mfano: mada, wahusika, na miktadha)

b) Kueleza dhana ya utata (maana na aina)

c) Kufafanua sababu za utata katika lugha

d) Kuondoa utata katika lugha

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet

Want to receive push notifications for all major on-site activities?

✕