Msaada

Jinsi ya kujiunga
Kujisajili
Naweza kusoma wakati wowote

Ndio, unaweza kusoma usiku, mchana, na wakati wowotee utakao. Hii ni kwa sababu mafunzo yetu yamerekodiwa na yanapatikana masaa 24.

Kumbuka kuwa, kila unapoilipia kozi unapewa siku maalumu za kusoma, mfano siku 5, 6 au 10. Unatakiwa usome na umalize kusoma kabla ya muda wako wa kozi uliolipia haujaisha.

Kila unapoilipia kozi unapewa siku maalumu za kusoma, mfano siku 5, 6 au 10. Unatakiwa usome na umalize kusoma kabla ya muda wako wa kozi uliolipia haujaisha. 

Kumbuka kudownload notes zako kutoka katika kozi kabla ya muda haujaisha, muda ukiisha hautaweza kuingia katika hiyo kozi na kudownload notes. Tazama picha ya hapa chini kujua ni wapi wanaonyesha muda wa kozi.

Hujapata ufumbuzi katika maelezo hayo juu, tuulize WhatsApp